• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uzalishaji wa zaidi ya bidhaa 100 za viwanda vyepesi nchini China waongoza duniani

    (GMT+08:00) 2019-07-15 08:37:23

    Uzalishaji wa zaidi ya bidhaa 100 za viwanda vyepesi wa China zikiwemo baiskeli, betri na samani umeongoza duniani. Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na idara ya takwimu ya taifa ya China, katika miaka 70 iliyopita, uzalishaji wa kiviwanda wa China umeongezeka kwa kasi, na thamani ya sekta hiyo imeongezeka kutoka dola za kimarekani bilioni 1.75 ya mwaka 1952 hadi dola za kimarekani trilioni 4 ya mwaka jana, wastani wa ongezeko hilo likiwa limekuwa asilimia 11 kwa mwaka. Ripoti hiyo pia imeeleza kuwa ushawishi wa sekta ya viwanda ya China duniani pia umepata maendeleo makubwa ya kihistoria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako