• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uhaba wa sarafu mpya kwenye mabenki wiki mbili baada ya tangazo

    (GMT+08:00) 2019-07-15 19:55:53
    Banki Kuu ya Kenya (CBK) imebaki kimia baada ya kukuwa na uhaba wa sarafu mpya, ambayo imeacha benki kuchanganyikiwa.

    Wafanyakazi kadhaa wa benki, ambao walizungumza wamesema walianza kupata uhaba baada ya wiki ya pili Hii imewalazimu kurudi kwenye fedha za zamani ambayo wamekuwa wakitoa kwa soko.

    CBK imekataa kuzungumza juu ya upungufu wa sarafu mpya, hali ambayo imeacha benki , hasa katika miji mbali mbali na Nairobi, bila matumaini.

    Wawekezaji wengine katika sekta hiyo wamesema changamoto nyingine imekuwa mafunzo.

    Wamesema mdhibiti ilianza kuwafundisha wiki baada ya tangazo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako