• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Syria aiunga mkono Iran dhidi ya matishio ya Marekani

    (GMT+08:00) 2019-07-16 09:07:43

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa nchi yake inaunga mkono Iran katika juhudi za kupambana na matishio ya Marekani. Rais Assad ameeleza msimamo huu wa serikali yake alipokutana na msaidizi spika wa Baraza la Shura la Iran anayeshughulikia mambo ya kimataifa Hossein Amir Abdollahian. Pande hizo mbili zimejadili uhusiano wao na hali katika kanda yao, pamoja na maendeleo kuhusiana na suala la nyuklia la Iran na hatua zinazochukuliwa na uongozi wa nchi hiyo katika kulinda maslahi ya watu wake

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako