• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RAGA: Lionesses na Simbas zapanda viwango vya raga

    (GMT+08:00) 2019-07-17 08:16:51
    Timu za wanawake (Lionesses) na wanaume (Simbas) za raga ya wachezaji 15 kila upande za Kenya zimeimarisha pointi zao kwenye viwango bora vya dunia baada ya kushinda Uganda na kuhifadhi mataji ya mashindano ya Elgon Cup jijini Kampala mnamo Julai 13, 2019.

    Lionesses ilibwaga Uganda 35-5 katika mechi ya marudiano na kuruka Guyana, Romania na Norway. Imetulia katika nafasi yake bora duniani ya 28 baada ya kujiongezea alama 1.14.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako