• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Twenzetu AFCON 2019: Pilato wa fainali kati ya Senegal na Algeria atajwa.

    (GMT+08:00) 2019-07-17 08:17:33
    Bamlak Tessema mwenye umri wa miaka 39 raia wa Ethiopia ameteuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuchezesha mchezo wa fainali ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika Afcon utakaochezwa Ijumaa kati ya Senegal na Algeria uwanja wa kimataifa wa Cairo.

    Fainali hiyo inatajwa kuwa na msisimko wa kipekee kutokana na timu zote mbili kuhitaji kuwa mabingwa wa michuano hii mikubwa.

    Algeria na Senegal wote walikuwa kundi C ambapo walipokutana kwenye hatua ya makundi, Algeria waliibuka na ushindi wa bao 1-0.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako