• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki za Kenya na China zazindua hatua za kuhimiza biashara kati ya China na Afrika

    (GMT+08:00) 2019-07-17 19:44:04

    Benki ya Stanbic ya Kenya na benki ya viwanda na biashara ya China ICBC zimezindua hatua nchini Kenya kuimarisha biashara kati ya China na Afrika, kwa kushirikiana na wakala wa biashara ya kimataifa wa mkoa wa Zhejiang, China.

    Hatua hiyo itawaunganisha waagizaji wa bidhaa wa Afrika na wauzaji wa China na kupunguza changamoto ya kifedha kwa uungaji mkono wa kifedha na kusaidia uagizaji na mchakato wa ugavi.

    Hatua kama hiyo tayari inafanyika nchini Nigeria, Ghana na Afrika Kusini na inatarajiwa kuwa itafanyika katika nchi 20 za Afrika kabla ya mwisho wa mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako