• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Baraza la kijeshi la Sudan na wapinzani wafikia makubaliano ya kisiasa

  (GMT+08:00) 2019-07-17 19:45:06

  Baraza la mpito la kijeshi la Sudan na kundi la upinzani wamesaini makubaliano ya awali kuhusu azimio la kisiasa, linalotaja miundo ya kipindi cha mpito.

  Akiongea kwenye hafla ya kusainiwa kwa makubaliano hayo, naibu mwenyekiti wa baraza hilo Bw. Mohamed Hamdan Daqlu, amesema kusainiwa kwa makubaliano hayo ni hatua ya kihistoria inayoanzisha zama mpya ya ushirikiano. Amesema makubaliano hayo ni matokeo ya juhudi kubwa zilizofanywa na wasudan wanaosubiri uhuru na haki kwa muda mrefu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako