• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wananchi wa Iran wameingizwa kwenye mfumo mbaya wa ugaidi wa kiuchumi

    (GMT+08:00) 2019-07-18 09:33:17

    Waziri wa mambo ya nje wa Iran Mohammad Javad Zarif ameuambia mkutano wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa uliofanyika mjini New York kuwa watu wa Iran wameingizwa kwenye aina moja ya mfumo mbaya wa ukatili wa "ugaidi wa kiuchumi". Amesema matishio ya kikanda na ukosefu wa usalama unaosababishwa na ugaidi, itikadi kali na vurugu zinazochangiwa na nchi za nje unakwamisha juhudi za nchi hiyo, na kwamba "ugaidi huo wa kiuchumi" unawalenga kwa makusudi raia wasio na hatia ili kutimiza malengo yao haramu ya kisiasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako