Hii ni kulingana na utafiti wa GSMA.
Utafiti huo umebaini kuwa watumizi wapya wa simu za mkononi milioni 160 watajumuishwa katika ukanda wa nchi zilizoko chini ya jangwa la sahara kufikia mwaka 2025,na kufanya jumla ya watumizi kufika milioni 623,ikiwa ni nusu ya idadi ya watu katika ukanda huo,kutoka watu milioni 456 mwaka 2018.
Aidha utafiti huo unaonyesha kuwa ongezeko hilo la watumizi hasa litachangiwa na watu kutoka Nigeria na Ethiopia.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |