• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Marekani yaadhimisha Miaka 50 tangu binadamu kutua kwenye sayari ya mwezi

  (GMT+08:00) 2019-07-22 08:41:45

  Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Juu ya Marekani NASA imetangaza kupitia majukwaa mbalimbali video kuhusu mwanaanga Neil Armstrong wa "APOLLO 11" kutua kwenye sayari ya Mwezi miaka 50 iliyopita, ikiwa ni maadhimisho ya miaka 50 tangu binadamu kutua kwenye sayari hiyo.

  Makamu wa rais wa Marekani Bw. Michael Pence amesema Marekani imetengeneza chombo cha safari ya anga ya juu cha Orion, ambao unalenga kuwarejesha wanaanga kwenye sayari ya Mwezi kabla ya mwaka 2024, na kuwafikisha binadamu kwenye Mars kwa mara ya kwanza katika siku za baadaye.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako