• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yasema imevunja mtandao wa kijasusi wa CIA

    (GMT+08:00) 2019-07-22 19:29:34

    Wizara ya habari ya Iran leo imetangaza kuwa imevunja mtandao wa kijasusi nchini humo uliohudumia idara ya CIA ya Marekani. Habari zinasema watu 17 wanaohusika na mtandao huo wamekamatwa, baadhi yao wamepewa hukumu ya kifo, lakini haikutaja wale waliokamatwa.

    Wapelelezi waliotambuliwa waliajiriwa katika sekta muhimu za uchumi, nyuklia, miundo mbinu na mtandao ambapo walikusanya habari za siri.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako