• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Maofisa sita wa Somalia wauawa katika mlipuko wa kujitoa mhanga huko Mogadishu

  (GMT+08:00) 2019-07-25 09:20:19

  Ofisa wa jeshi la Polisi la Somalia ambaye hakutaka kutaja jina lake amesema, maofisa sita wameuawa na wengine saba akiwemo meya wa mji wa Mogadishu wamejeruhiwa katika shambulizi la bomu la kujitoa mhanga lililotokea kwenye makao makuu ya manispaa ya mji wa Mogadishu. Ameongeza kuwa, hawana hakika kama bomu lilitegwa ndani ya jingo ama mtu aliyevaa mabomu aliingia kwa siri ndani ya jingo hilo na kufanya shambulizi hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako