Jana majira ya saa 8:30 mchana kwenye uwanja wa Hongkou jijini Shanghai hapa China kulipigwa mechi ya mashindano ya ICC baina ya Manchester United dhidi ya Tottenham Hotspurs. Hadi kipyenga cha mwisho cha mwamuzi, Manchester United iliibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Spurs. Nayo Benfica ikiifunga 2-1 Fiorentina kwenye mchezo mwingine.
Timu zote zinatumia michezo hii kwa ajili ya kijiweka fiti kuelekea msimu mpya wa ligi kuu ya Uingereza (EPL).
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |