• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Taasisi ya utafiti wa haki za binadamu ya China yatoa makala kuonesha ukweli kuhusu utekelezaji wa haki za binadamu wa Marekani

  (GMT+08:00) 2019-07-26 10:43:42

  Taasisi ya utafiti wa haki za binadamu ya China imetoa makala kuhusu "suala la ubaguzi wa rangi wenye mzozo wa muda mrefu nchini Marekani laonesha kushindwa kwa Marekani katika kutimiza haki za binadamu", ambayo imeeleza ugumu wa kutatua suala la ubaguzi wa rangi nchini Marekani.

  Makala hiyo imesema, ubaguzi wa rangi nchini Marekani umeonekana katika sekta mbalimbali zikiwemo sheria, uchumi na jamii, na umeleta matokeo mabaya kwa jamii nchini humo, ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa uhusiano mbaya kati ya watu wa rangi mbalimbali, uhalifu na mfarakano wa jamii. Pia imesisitiza endapo Marekani haitatatua suala hilo, haki za binadamu za watu wenye rangi hazitahakikishwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako