• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Makala yalaani unafiki wa haki za binadamu wa Marekani kuhusu ubaguzi wa rangi

    (GMT+08:00) 2019-07-26 19:54:18

    Makala iliyoandikwa na jumuiya ya masomo ya haki za binadamu ya China (CSHRS) imefichua unafiki wa Marekani kwenye maswala ya haki za binadamu kutokana na hali ya ubaguzi wa rangi nchini humo.

    Makala hiyo inasema kwa kujifanya yenyewe ni mtetezi wa haki za binadamu, Marekani haiwezi na haitaweza kutatua tatizo kubwa la haki za binadamu nchini mwake. Na hii inaonesha udhaifu wa kitaasisi na kimuundo wa Marekani.

    Makala hiyo yenye kichwa cha "Ubaguzi wa rangi uliojikita Marekeni unaonesha unafiki wake kwenye haki za binadamu" inasema ubaguzi wa rangi umefanya mahusiano ya watu wa rangi mbalimbali kuwa mabaya zaidi, kuongezeka uhalifu wa chuki dhidi ya wengine, na kuharibika kwa jamii, mambo ambayo yamefanya iwe vigumu kutimiza haki kwa wote na heshima kwa watu wasio wazungu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako