Rais Xi Jinping wa China ambaye pia ni mwenyekiti wa Baraza la kijeshi la China leo hapa Beijing amekutana na wajumbe wote wa mkutano wa kazi za wanajeshi wastaafu, na kuwahamasisha wasisahau nia ya awali, kukumbuka vizuri majukumu, na kujitahidi kufungua ukurasa mpya wa kazi za kuwahudumia wanajeshi wastaafu.
Waziri mkuu Bw. Li Keqiang na katibu wa sekretariati ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Wang Huning pia wamehudhuria mkutano huo.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |