• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa China apongeza mkutano wa 7 wa baraza la jangwa la kimataifa la Kubuqi

  (GMT+08:00) 2019-07-27 18:04:44
  Rais Xi Jinping wa China ametoa barua ikipongeza mkutano wa 7 wa baraza la jangwa la kimataifa la Kubuqi uliofanyika leo mjini Ordos.

  Rais Xi amesema, binadamu ina ulimwengu mmoja tu. Kazi ya kukinga na kudhibiti jangwa ni shughuli inayohusiana na maendeleo endelevu ya binadamu. Jumuiya ya kimataifa inatakiwa kushikana mikono na kufanya juhudi za pamoja kuimarisha ushirikiano wa kimataifa wa kukinga na kidhibiti jangwa na kuhimiza usimamizi wa mazingira wa kimataifa, ili kutimiza kwa pande zote ajenda za maendeleo endelevu za mwaka 2030.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako