• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Van Dijk ana kila sababu ya kunyakua Ballon d'Or

    (GMT+08:00) 2019-07-29 08:47:40
    Baada ya kuongoza Liverpool kutawazwa wafalme wa klabu bingwa Ulaya (UEFA), beki Virgil van Dijk wa Uholanzi alitachaguliwa mchezaji bora wa mwaka katika ligi kuu ya Uingereza (EPL) msimu uliopita.

    Mholanzi huyu kwa sasa anapigiwa upatu wa kunyanyua taji la Ballon d'Or ambalo mhezaji bora zaidi duniani hutangazwa Disemba ya kila mwaka baada ya wawaniaji kuorodheshwa mwezi Oktoba.

    Wachezaji wanne kati ya sita wanaopigiwa upatu wa kunyakua taji hilo ni Lionel Messi, Cristiano Ronaldo, Mohamed Salah, Sadio Mane na kipa Alisson Becker.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako