• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ofisi ya siasa ya kamati kuu ya Chama cha CPC yafanya mkutano kuchambua hali ya hivi sasa ya uchumi na kazi za uchumi

  (GMT+08:00) 2019-07-30 19:26:47

  Ofisi ya siasa ya kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China imeitisha mkutano kuchambua na kutafiti hali ya sasa ya uchumi, na kuweka mipango ya kazi ya uchumi katika nusu ya pili ya mwaka huu, huku ukikagua kanuni ya uwajibikaji wa chama na ripoti kuhusu uchunguzi wa nidhamu. Rais Xi Jinping wa China ambaye pia ni katibu mkuu wa chama hicho ameendesha mkutano huo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako