• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KIKAPU: Moraans wapokelewa kishujaa

    (GMT+08:00) 2019-07-31 08:11:25
    Timu ya mpira wa kikapu ya wanaume maarufu kama Morans imepokelewa kwa shangwe wakitokea nchini Mali ilikozoa medali ya fedha kwenye mashindano ya bara la Afrika (AFROCAN).

    Mfungaji bora wa michuano hiyo, Tylor Okari alifichua kuwa wamejifunza mengi kutoka kwa mashindano hayo na watafanya vyema zaidi wakipatana na DR Congo tena ambayo ndiyo timu pekee ilitwaa ushindi dhidi ya Kenya nchini Mali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako