• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • KIKAPU: Usajili NBA- Clipper wafanya makubwa, mmiliki asema hajali gharama.

  (GMT+08:00) 2019-07-31 08:13:22
  Baada ya kuwatambulisha wachezaji wao wapya kwa umma hivi karibuni, Los Angeles Clippers wiki hii wamewatambulisha wachezaji wao wengine ambaoni Kawhi Leonard and Paul George.

  Mmiliki wa Clippers, Steve Ballmer amesema ikifika suala la kuhakikisha ubora hajali gharama yoyote inayokuja katika ujenzi wa timu yake ya nyumbani. Amesema anatumia gharama kubwa kujenga timu hiyo ili iwe bora, sit u kuwafurahisha mashabiki wao bali pia kufanya vizuri katika ligi ya NBA msimu ujao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako