• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wizara ya Ulinzi ya China yaandaa hafla ya kuadhimisha siku ya kuanzishwa kwa jeshi

  (GMT+08:00) 2019-07-31 09:11:31

  Wizara ya Ulinzi ya China imeandaa hafla ya kuadhimisha miaka 92 ya kuanzishwa kwa Jeshi la Ukombozi la Watu wa China PLA inayoangukia tarehe Mosi, Agosti. Kwa niaba ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC, Baraza la Serikali na Kamisheni Kuu ya Jeshi, mjumbe wa taifa na waziri wa ulinzi Bw. Wei Fenghe ametoa salamu kwa wanajeshi wa PLA, jeshi la Polisi, jeshi la akiba, wanamgambo na wengineo. Amesema China itafuata njia ya kujiendeleza kwa amani, na kutetea sera ya ulinzi yenye lengo la kujilinda, kufanya kazi na nchi nyingine ili kutoa michango zaidi kwa amani na utulivu wa dunia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako