• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping asisitiza mageuzi ya kuimarisha jeshi

  (GMT+08:00) 2019-07-31 19:42:45

  Rais Xi Jinping wa China amesisitiza umuhimu wa kufanya juhudi katika kutekeleza mkakati wa kuimarisha jeshi kupitia mageuzi na kuendelea kujenga jeshi lenye nguvu katika zama mpya.

  Rais Xi ametoa maoni hayo leo akiendesha mkutano wa Ofisi ya siasa ya kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC kuhusu mageuzi ya sera za kijeshi na taasisi. Mkutano huu umefanyika kabla ya maadhimisho ya siku ya jeshi Agosti 1.

  Rais Xi pia ametoa salama kwa watumishi wote wa jeshi la ukombozi wa umma la China.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako