• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Marais wa China na Columbia wafanya mazungumzo

  (GMT+08:00) 2019-07-31 20:53:02

  Rais Xi Jinping wa China leo hapa Beijing amekutana na rais Ivan Duque Marquez wa Colombia ambaye yuko ziarani nchini China.

  Kwenye mazungumzo yao rais Xi amesisitiza kuwa China inapenda kufanya juhudi za uratibu, na kudumisha mawasiliano na Columbia, pia ingependa kuhimiza ujenzi wa utaratibu wa baraza la ushirikiano kati ya China na Latin Amerika, kujenga kwa pamoja jumuiya yenye mustakabali wa pamoja.

  Rais Duque ameeleza kuwa Columbia inazingatia na kutumai kuwa China itaendelea kuonesha umuhimu wake wa kiujenzi katika mambo ya kimataifa na ya kikanda, na kupenda kufanya juhudi za kusukuma mbele maendeleo ya uhusiano kati ya pande hizo mbili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako