• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Michuano ya COSAFA kuanza leo Afrika Kusini

  (GMT+08:00) 2019-08-01 08:01:37
  Michuano ya baraza la vyama vya mpira wa miguu kusini mwa Afrika (COSAFA) inayozikutanisha timu za ukanda wa kusini mwa Afrika inatarajiwa kufungua milango yake leo katika jiji la Port Elizabeth Afrika Kusini.

  Timu za Afrika mashariki zinaalikwa kama wageni kwenye michuano hiyo, kutoka Tanzania, Kikosi cha timu ya taifa ya wanawake chini ya miaka 20 (Tanzanite) kimekwea pipa mapema jana kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kushiriki kwenye michuano hiyo.

  Michuano hiyo itamalizika Agosti 11 mwaka huu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako