• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Oktay akana tetesi za kutoroka Gor Mahia

  (GMT+08:00) 2019-08-01 08:02:41
  Kocha wa Gor Mahia Hassan Okyat ambaye aliondoka nchini Kenya juzi kuelekea Uturuki, amekanusha vikali tetesi kwamba ameachana na yimu hiyo.

  Kwenye mahojiano na gazeti la Taifa Leo la nchini humo, Oktay amefafanua kwamba hajaacha kazi ya kuwanoa mabingwa hao watetezi wa ligi kuu ya Kenya (KPL) ila aliomba ruhusa kurejea kwao kushughulikia masuala binafsi ya kifamilia kisha atarejea Jumapili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako