• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Kombe la AUDI- Madrid yafanya mauaji, Spurs yavutwa shati

  (GMT+08:00) 2019-08-01 08:02:58
  Michuano ya kombe la Audi imeendelea katika jiji la Munich Ujerumani, Real Madrid baada ya kupokea kichapo cha goli 1-0 toka kwa Tottenham Hotspurs, imeweza kurekebisha makosa na kufanya mauaji baada ya kuichapa Fenerbahce kwa jumla ya magoli 5-3.

  Nao Tottenham Hotspurs baada ya ushindi wake wa goli 1-0 dhidi ya Real Madrid, jana imepunguzwa kasi kwa kulazimishwa sare ya 2-2 na Bayern Munich.

  Hivyo Bayern sasa watacheza mechi ya fainali na Tottenham Hotspurs.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako