• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wizara ya mambo ya nje ya China imesema serikali kuu inamuunga mkono ofisa mkuu wa Hong Kong

  (GMT+08:00) 2019-08-01 19:15:10

  Msemaji wa wizara ya mambo ya nje Bi. Hua Chunying amesema serikali kuu ya China inamuunga mkono ofisa mkuu wa serikali ya mkoa wa utawala maalumu wa Hong Kong Bi. Carrie Lam kutawala kwa mujibu wa sheria.

  Akijibu swali la mwandishi wa habari kuhusu hotuba ya Meja Jenerali Chen Daoxiang wa jeshi la ukombozi wa umma la China mkoani Hong Kong kwenye maadhimisho ya jeshi hilo, Bi. Hua amesema serikali kuu inaunga mkono askari wa Hong Kong kushughulikia utawala kwa kufuata sheria, na kuunga mkono idara na ofisi husika za serikali ya mkoa huo kuwaadhibu wakatili kwa kufuata sheria, na kuunga mkono wanaoipenda Hong Kong kufanya utawala wa sheria, na kulinda usalama wa taifa na utulivu na ustawi wa Hong Kong.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako