Baada ya kipigo hicho, kocha wa Uganda, Rogers Serunyigo amesema Mali ni timu bora na yenye ushindani, inawalazimu kujiandaa kikamilifu kuweza kushinda mchezo unaofuata.
Michuano hiyo inashirikisha timu za Rwanda, Angola, Tanzania na Msumbiji katika kundi A, Kundi B lina timu za Mali, Misri, Uganda na Afrika Kusini.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |