• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: CAF yatoa sababu ya kuirudishia kombe klabu ya Esperence baada ya kutupiliwa mbali mchezo wa marudiano dhidi ya Wydad.

  (GMT+08:00) 2019-08-02 07:54:55
  Klabu ya Esperance ya Tunisia, imetangazwa kuwa mabingwa wa klabu bingwa Afrika kwa mara nyingine tena. Mahakama ya usuluhishi imetupilia mbali uamuzi wa CAF kuruhusu fainali ya marudiano iliyochezwa jijini Tunis kurudiwa tena.

  Fainali ya awali kati ya Wydad ya Morocco na Esperance De Tunis iliingia dosari baada ya mwamuzi kukataa bao la kusawazisha la Wydad. Wachezaji wa Wydad waligoma kuendelea na mchezo wakishurutisha mwamuzi kwenda kurudia bao hilo kwenye mfumo wa VAR.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako