• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • NDONDI: Bondia avuliwa kwa muda ubingwa wa dunia

  (GMT+08:00) 2019-08-02 07:55:14
  Baraza la ngumi za kulipwa duniani (WBC) limesimamsiha pambano la ngumi za uzito wa juu duniani kati ya bondia wa Uingereza Dillian Whyte na Deontay Wilder kutokana na sakata la matokeo ya uchunguzi wa dawa.

  Wilder raia wa Jamaika alirejesha majibu ya vipimo vya afya yanayoonyesha anatumia dawa za kuongeza nguvu michezoni siku tatu kabla ya pambano lake na Oscar Rivas wa Colombia katika ukumbi wa O2 Arena jijini London, lakini aliruhusiwa kupambana baada ya kuhudhuria mahojiano na jopo huru.

  Kutokana na matokeo hayo, na kutegemea matokeo ya uchunguzi wa WBC na mchakato wa kisheria, WBC imesimamisha kwa muda kumtambua Dillian Whyte kuwa bingwa wa muda wa WBC wa ngumi za uzito wa juu na bondia anayestahili kupambana na bondia anayewania uzito huo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako