• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa Tanzania azindua jengo la tatu la abiria katika uwanja wa ndege wa kimataif anchini humo

  (GMT+08:00) 2019-08-02 09:37:18

  Rais John Magufuli wa Tanzania amesema taifa lake siyo maskini na nlitaendelea kufanya maamuzi katika kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo bila kuwategemea wahisani. Rais Magufuli amesema hayo katika uzinduzi wa jengo la tatau la abiria katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere uliofanyika jana.

  Rais Magufuli amesema, ujenzi wa jengo hilo umefanyika kwa kutumia fedha za ndani, na kwa kutimiza mradi huo mkubwa, inaonyesha kuwa Tanzania inaweza kutimiza utekelezaji wa miradi mikubwa bila ya kutegemea ufadhili kutoka nje.

  Jengo hilo limejengwa kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 314, na litasaidia uwanja huo wa ndege kuongeza idadi ya abiria kutoka milioni mbili hadi milioni 8 kwa mwaka.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako