• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • CMG yaanzisha channel ya televisheni itakayozungumzia mambo ya kijeshi

  (GMT+08:00) 2019-08-02 10:11:06

  Wakati China ikiadhimisha mwaka wa 92 tangu kuanzishwa kwa Jeshi la Ukombozi la Watu la China, Shirika Kuu la Utangazaji la China CMG jana limeanzisha channel ya televisheni itakayozungumzia mambo ya kijeshi. Kuanzishwa kwa channel hiyo mpya ni hatua muhimu ya kueneza na kufafanua mawazo ya rais Xi Jinping kuhusu kuimarisha jeshi, na pia ni majaribio ya uvumbuzi yanayolenga kuongeza nguvu katika kuripoti na kutangaza ujenzi wa ulinzi wa taifa na majeshi. Channel nyingine mpya kuhusu mambo ya kilimo na vijiji pia ilianzishwa jana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako