• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Palestina ailaumu Israel kwa kujaribu kuwaondoa raia wa Palestina kutoka Jerusalem

    (GMT+08:00) 2019-08-05 09:13:26

    Waziri mkuu wa Palestina Bw. Mohammad Ishtaye ameilaumu Israel kwa kujaribu kuwafukuza raia wa Palestina kutoka Jerusalem. Bw. Ishtaye ametoa hoja hiyo katika mkutano uliofanyika huko Ramallah na wakazi wa Wad el-Hommos huko Sur Baher, kusini mashariki mwa Jerusalem, ambako serikali ya Israel iliharibu nyumba zao wiki mbili zilizopita. Bw. Ishtaye amesema, kilichotokea huko Wad el-Hommos ni uhalifu mbaya ambao haukubaliki, huku akiongeza kuwa Israel inajaribu kuwafukuza watu wa Palestina kutoka mji huo kwa mujibu wa mpango wa Jerusalem 2020.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako