• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Liverpoolwaanza vibaya Ligi Kuu England

  (GMT+08:00) 2019-08-05 10:29:55

  Klabu ya Liverpool imeshindwa kufurukuta mbele ya mabingwa watetezi wa EPL, Man City kwa kukubali kichapo cha magoli 5-4 kwenye mchezo wa ngao ya jamii. Man City walionekana kutawala mchezo huo kipindi cha kwanza na kufanikiwa kupata goli, Kabla ya Liverpool kusawazisha goli hilo kipindi cha pili. Penati ya Liverpool imekoswa na Georginio Wijnaldum, Na ndio imewanyima ubingwa wa taji la Ngao ya jamii nchini England msimu wa 2019/20 .

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako