• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China inaweza kudumisha utulivu wa kiwango cha ubadilishaji wa RMB

  (GMT+08:00) 2019-08-05 19:41:44

  Benki kuu ya China imesema inaweza kudumisha kimsingi utulivu wa kiwango cha ubadilishaji wa fedha za Renminbi.

  Kutokana na hatua za upande mmoja na kujilinda kibiashara na matarajio na nyongeza ya ushuru dhidi ya bidhaa za China, leo thamani ya Renminbi dhidi ya dola ya kimarekani imeshuka na kufikia zaidi ya Yuan 7 kwa dola moja, lakini thamani ya Renminbi dhidi ya fedha nyingine imeendelea kuwa tulivu.

  Benki hiyo imesema kiwango cha ubadilishaji wa fedha za RMB kimeamuliwa na misingi ya kiuchumi ya muda mrefu, japokuwa kinaathiriwa na utoaji na mahitaji sokoni, pamoja na mwelekeo wa thamani ya dola ndani ya muda mfupi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako