• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mohamed Dewji ataka kununua daraja la kwanza itakayopewa jina la Simba

  (GMT+08:00) 2019-08-06 08:19:15
  Mwekezaji wa Simba, Mohamed Dewji amesema watapeleka maombi yao Shirikisho la Soka nchini Tanzania ili kununua timu ya daraja la kwanza. Timu hiyo itakuwa na wachezaji wanaotoka timu yao ya vijana ya Simba na endapo watakubaliwa watakuwa na timu itakayoitwa Simba lakini ikishiriki Ligi Daraja la Kwanza. Mo Dewji amesema endapo timu hiyo itafanikiwa kupanda daraja hawataipandisha Ligi Kuu kwani sheria haitawaruhusu kuwa na timu mbili ligi kuu zenye jina moja. Amesema lengo ni kutoa burudani sifi kwa mashabiki na kuweka ushindani mkubwa katika soka.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako