• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia kutengeneza makombora yaliyopigwa marufuku na INF kama Marekani ikifanya hivyo

    (GMT+08:00) 2019-08-06 08:24:16

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema nchi yake itaanza kutengeneza makombora yake yaliyopigwa marufuku na Mkataba wa Silaha za Nyuklia za Masafa ya Kati (INF) kama Marekani ikianza kufanya hivyo.

    Wakati huohuo rais Putin pia amesema Russia haitacha kutekeleza wajibu wake wa upande mmoja, na hatua zake zote zitalingana na hatua za upande mwingine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako