• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uturuki na Marekani zakubali kufikia mwafaka juu ya kuanzisha eneo salama nchini Syria

    (GMT+08:00) 2019-08-08 08:49:30

    Wizara ya ulinzi ya Uturuki imesema nchi hiyo na Marekani zitaanzisha mara moja Kituo cha Operesheni za Pamoja nchini Uturuki kwa ajili ya uratibu na usimamizi wa eneo salama linalopangwa kuanzishwa kaskazini mwa Syria. Tamko hilo limekuja baada ya mazungumzo ya siku tatu kati ya pande hizo mbili. Taarifa ya pamoja iliyotolewa na pande hizo mbili inasema, pande hizo zimekubali "kuanza mara moja utekelezaji wa hatua za mwanzo" ili kuondoa wasiwasi wa Uturuki kuhusu usalama wake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako