• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kampuni ya Huawei kuendelea kupinga uhalali wa marufuku iliyotolewa na Marekani

  (GMT+08:00) 2019-08-08 19:20:30

  Kampuni ya Huawei ya China imesema itaendelea kupinga uhalali wa kikatiba wa marufuku iliyotolewa na Marekani ya kutoruhusu manunuzi ya vifaa vya mawasiliano ya simu kutoka kwa kampuni hiyo.

  Serikali ya Marekani Jumatano ilitoa sheria ya mptio ikipiga marufuku mashirika ya serikali kuu kununua vifaa na huduma vya mawasiliano ya simu kutoka kwa makampuni matano ya China yakiwemo Huawei.

  Kampuni ya Huawei imesema, marufuku hiyo itawaathiri vibaya zaidi watu wa maeneo ya vijijini nchini Marekani ambao mtandao wanaotumia unategemea teknolojia ya Huawei.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako