• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UM-Idadi ya watu duniani kuongezeka

    (GMT+08:00) 2019-08-08 19:24:28

    Ripoti ya matarajio ya idadi ya watu duniani 2019 iliyotolewa na kitengo cha masuala ya idadi ya watu katika idara ya masuala ya uchumi na jamii (DESA) ya Umoja wa Mataifa inasema idadi ya watu duniani inatarajiwa kuongezeka kutoka bilioni 7.7 ya sasa,hadi bilioni 9.7 mwaka 2050.

    Ongezeko hilo linatarajiwa kutokea katika nchi za India,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC),Nigeria,Tanzania,Ethiopia,Marekani,Pakistan,Indonesia na Uganda.

    Ripoti inafafanua kwamba mapato husika yanatarajiwa kuongezeka kwa kasi kubwakatika nchi nyingi zenye kipato cha chini na cha kati ,haswa India na China ,ambazo kwa pamoja zina jumla ya asilimia 37 ya idadi ya sasa ya watu duniani.

    Kuna mtazamo kwamba bidhaa kutoka nchi hizo zinaweza kutawala soko la dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako