• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Gor Mahia ya Kenya yatoka sare na Aigle Noir FC ya Burundi

  (GMT+08:00) 2019-08-12 08:50:52
  Timu ya Gor Mahia ya kenya imetka sare ya kutofungana na timu ya Aigle Noir FC ya Burundi katika raundi ya mwanzo ya kombe la Kombe la Shirikisho la Afrika (CAF) iliyochezwa kwenye uwanja wa Intwari mjini Bujumbura, Burundi. Licha juhudi zilizofanywa na washambuliaji wa Gor Mahia na Aigle Noir, hakuna timu iliyoweza kuona nyavu ya timu nyingine. Matokeo hayo yanawafanya wenyeji Kenya kuwa katika nafasi nzuri ya kuendelea katika raundi inayofuata ya mashindano hayo katika mechi ya marudiano itakayofanyika Agosti 24 mjini Nairobi.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako