• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Man United yaichapa Chelsea 4 – 0

  (GMT+08:00) 2019-08-12 08:53:28
  Timu ya soka ya Mancheste United ya Uingereza imeibuka na ushindi wa mabao 4 – 0 dhidi ya Chelsea katika mechiya kwanza ya Ligi Kuu ya England iliyochezwa usiku wa kuamkia leo. Magoli hayo yalifungwa katika dakika ya 18 na mchezaji Marcus Rashford kwa njia ya penalty baada ya kuchezewa rafu na Kort Zouma wa Chelsea. Man unites waliendelea kuongoza kwa bao hilo mpaka kipindi cha mapumziko, huku wakionekana kuzidiwa na mashambulizi yaliyokuwa yakifanywa na wachezaji wa Chelsea. Kipindi cha pili Man United ilianza kwa kasi na kufanikiwa kupachika mabao matatu zaidi kwenye nyavu za Chelsea.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako