• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu zaidi ya milioni 6 nchini China waathiriwa na kimbunga Lekima

  (GMT+08:00) 2019-08-12 09:23:27

  Watu milioni 6.51 katika mikoa ya Zhejiang, Jiangsu, Anhui, Shandong, Fujian na Shanghai nchini China wameathiriwa na kimbunga Lekima ambacho ni kikubwa zaidi kutokea mwaka huu.

  Habari zinasema, mpaka sasa, watu 32 wamefariki na wengine 16 hawajulikani walipo kutokana na kimbunga hicho, pia nyumba 3,500 zimebomoka na nyingine elfu 35 kuharibiwa, huku hekta zaidi ya laki 2.65 za mashamba zikiathiriwa na kimbunga hicho.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako