• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia yaisisitiza YouTube isimamishe kuhimiza mikusanyiko haramu

    (GMT+08:00) 2019-08-12 09:24:14

    Mamlaka ya mawasiliano ya simu nchini Russia Roskomnadzor imesema kuwa, iimetuma barua kwa kampuni ya Google ikiitaka iache kuhimiza maandamano haramu kupitia kampuni yake tanzu ya YouTube.

    Mamlaka hiyo imesema, kampuni kadhaa zinazomiliki chaneli za Youtube zilitumia huduma za matangazo za Youtube, kwa ajili ya kusambaza habari kuhusu maandamano haramu zinazolenga kuvuruga uchaguzi wa serikali na majimbo nchini Russia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako