• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mawaziri wa mambo ya nje wa China na India wazungumzia uhusiano wa nchi hizo

  (GMT+08:00) 2019-08-13 09:55:48

  Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amefanya mazungumzo na mwenzake wa India Bw. Subrahmanyam Jaishankar aliyeko ziarani hapa Beijing, China. Bw. Wang ametoa wito kwa pande hizo mbili kutekeleza ipasavyo makubaliano muhimu yaliyofikiwa na viongozi wa nchi hizo, kuthamini kuboreka kwa uhusiano wa pande mbili, na kuimarisha hali ya kuaminiana na ushirikiano. Bw. Jaishankar amesema India inaendelea na maandalizi ya mkutano wa pili usio rasmi kati ya viongozi wa nchi hizo mbili utakaofanyika baadaye mwaka huu, na iko tayari kuhakikisha mafanikio yake.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako