• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Sudan Kusini kuangalia upya mikataba yake ya mafuta

  (GMT+08:00) 2019-08-13 19:15:21
  Sudan Kusini imesaini makubaliano na kampuni kituo cha wanasheria cha Centurion kutoka Afrika Kusini ili kutathmini upya taratibu zake za uzalishaji na uuuzaji wa mafuta.

  Kwenye hatua hiyo Sudan kusini inapenga kuongeza uzalishaji wake kutoka kiwango cha sasa cha mapipa 150,000 kwa siku hadi 350,000.

  Sudan Kusini imefanikiwa hatua hiyo kwa msaada wa benki ya maendeleo ya Afrika AfDB.

  Mkurungezi wa Centurion NJ Ayuk amesema watachunguza mikataba yote ya utafutaji, uchimbaji na uuzaji wa mafuta.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako