• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkoa wa Yunnan nchini China washuhudia ukuaji wa biashara na nchi za Ukanda Mmoja na Njia Moja

    (GMT+08:00) 2019-08-14 08:39:37

    Mkoa wa mpakani wa Yunnan ulioko kusini magharibi mwa China umeshuhudia biashara kati yake na nchi za Ukanda Mmoja na Njia Moja ikiongezeka kwa asilimia 16 na kufikia dola za kimarekani bilioni 12.8 kati ya mwezi Januari hadi Julai mwaka huu.

    Idara ya forodha ya mji mkuu wa mkoa huo Kunming imesema, thamani ya biashara na nchi hizo imechangia asilimia 72 ya biashara ya jumla ya ndani na nje ya mkoa huo.

    Idara hiyo imesema, bidhaa za kielektroniki na kiufundi pamoja na mbolea iliongezeka kwa kasi, huku bidhaa za kilimo na za usalishaji zikiendelea kukua.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako