• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Washauri wakuu wa suala la biashara wa China na Marekani wazungumza kwa njia ya simu

  (GMT+08:00) 2019-08-14 09:08:13

  Naibu waziri mkuu wa China, ambaye pia ni kiongozi wa ujumbe wa China kwenye mazungumzo ya kiuchumi kati ya China na Marekani Bw. Liu He amezungumza kwa njia ya simu na Mwakilishi wa Biashara wa Marekani Bw. Robert Lighthizer na waziri wa fedha wa nchi hiyo Bw. Steven Mnuchin.

  Kwenye mazungumzo hayo, China imeeleza msimamo wake wa kupinga uamuzi wa Marekeni wa kutoza ushuru wa ziada dhidi ya bidhaa za China ambao utaanza kutekelezwa tarehe Mosi mwezi ujao.

  Pande hizo zimekubali kufanya mazungumzo tena ndani ya wiki mbili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako