• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya watalii kufikia milioni 2.2 mnamo 2019-Balala

    (GMT+08:00) 2019-08-14 19:48:12

    Idadi ya watalii wa kimataifa inatarajiwa kuongezeka kwa asilimia 10 kutoka mwaka jana, waziri wa utalii Najib Balala amesema, licha ya kushuka kidogo katika nusu ya kwanza ya mwaka.

    Makadirio haya yametekelezwa kwa utendaji mzuri na soko la Marekani ambalo lilikua kwa asilimia 9.4 katika nusu ya kwanza ya mwaka.

    Makadirio ya asilimia 10 ya Balala sasa inaweka wangeni watakaoingia wanaotarajiwa kufikia milioni 2.2 kutoka milioni 2,025,206 waliyoripotiwa mnamo 2018, idadi kubwa zaidi katika historia ya utalii nchini.

    Jumla ya wageni wa kimataifa katika nusu ya kwanza ya mwaka wa 2019 walikuwa 921,090, kushuka kwa asilimia 0.7 ikilinganishwa na kipindi kama hicho 927,797 mnamo 2018.

    Ndege ya moja kwa moja kwenda New York imepiga jeki utalii wa Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako